Skip to main content
Published By:
USAID Advancing Nutrition
Publication Date:
Brief
Tanzania
Swahili

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo imeandaa Mpango Jumuishi wa Pili wa Taifa wa Lishe. Mpango huu umeandaliwa ili kutoa muongozo kwa wadau wa lishe juu ya utekelezaji wa afua zinazolenga kutatua changamoto za lishe duni (utapiamlo) zinazoathiri watu wa rika zote katika jamii ya watanzania, kwa kipindi cha miaka mitano 2021/22 hadi 2025/26.

Thumbnail of brief cover.